Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
uwe na uwezo wa kuyaona na kuyasikia usioyapenda pia hio ndo demokrasia lasivyo wewe ni dikteta uchwara ambae angekua na.bunduki ungetisha zaidi ya Sa100 na genge lake.Futa upuuzi wako hapa unajaza bure server ya watu na matakataka yako, wenzako wanatumia gharama kubwa kulipia cloud server wewe unajaza matakataka yako hapa
Award sisi zinatuhusu nini?uwe na uwezo wa kuyaona na kuyasikia usioyapenda pia hio ndo demokrasia lasivyo wewe ni dikteta uchwara ambae angekua na.bunduki ungetisha zaidi ya Sa100 na genge lake.
Kwan kila taarifa inayoripotiwa inakuhusu? Uliombwa kuifungua kama sio kiherehere chako? Mda mwingne ni hekima kukaa kimya sio kila kitu ucomment unaonekana kichaaAward sisi zinatuhusu nini?
Dada angu nakuheshimu usinilazimishe nikujibu kipimo chake kitakuwa ni cha juu snKwan kila taarifa inayoripotiwa inakuhusu? Uliombwa kuifungua kama sio kiherehere chako? Mda mwingne ni hekima kukaa kimya sio kila kitu ucomment unaonekana kichaa
Ndo anachoweza Haa jipya la maanaSAMIA KALAMU AWARDS 2025
๐น๐ฟMGENI RASMI: MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
๐ The Super Dome - Masaki
๐ 5 Mei, 2025
๐ Kuanzia saa 12:00 jioni
View attachment 3324288
View attachment 3324289
View attachment 3324290
Tuheshimiane mimi sio ke mimi ni meDada angu nakuheshimu usinilazimishe nikujibu kipimo chake kitakuwa ni cha juu sn
Naomba ukae kimyaTuheshimiane mimi sio ke mimi ni me
Naomba ujifunzeNaomba ukae kimya
Basi tuheshimianeNaomba ujifunze
Hivi kutoa habari ya kweli ya kujenga maendeleo ya nchi yako kisiasa na kiuchumi itayoweza kupinga uongozi wa serekali ya samia hio itakuwa Habari ya kizalendo itayopokelewa na Serekali nzima hadi Alieandika apate Hizo Awards?? ni Awards Kwa waandishi wanaosifia serekali bila kuiponda ndio wataopokea Awards?... Real Revolutions are NEVER televisedSAMIA KALAMU AWARDS 2025
๐น๐ฟMGENI RASMI: MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
๐ The Super Dome - Masaki
๐ 5 Mei, 2025
๐ Kuanzia saa 12:00 jioni
View attachment 3324288
View attachment 3324289
View attachment 3324290
haitozuia kuambiana ukweli. Mimi naheshimu kila mtu humu ndan labla uanze kuniheshimu kama navyoheshimu kila mtu.Basi tuheshimiane
Nonsense, Nonsense!SAMIA KALAMU AWARDS 2025
๐น๐ฟMGENI RASMI: MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
๐ The Super Dome - Masaki
๐ 5 Mei, 2025
๐ Kuanzia saa 12:00 jioni
View attachment 3324288
View attachment 3324289
View attachment 3324290