GE2025 Samia: Bandari ya Tanga kuwa bohari ya mafuta na gesi, hatua ambayo inatarajiwa kuzalisha ajira mpya 2,100

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Wakuu! Namuonea sana huruma Samia na hizi ahaadi zake! Naona anavyoendelea kujichimbia shimo refu sana kwa wananchi.

Na sioni kama atafanikiwa kutekeleza hata kwa asilimia 20. Mimi nipo siti ya mbele nasubiri kuona 😎
==================

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema ujenzi wa bandari ya Tanga unakwenda sambamba na maamuzi ya kuifanya mkoa huo kuwa bohari ya mafuta na gesi, hatua ambayo inatarajiwa kuzalisha ajira mpya 2,100 na kuinua uchumi wa eneo hilo.

Akizungumza leo Jumatatu, Septemba 29, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Usagara Sekondari mkoani Tanga, Dkt. Samia amesema ujenzi wa bandari hiyo umeunganishwa na miradi mikubwa ya kimkakati, ikiwemo bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima, nchini Uganda, hadi Chongoleani, Tanga. Ujenzi wa bomba hilo, alisema, umefikia asilimia 84 na tayari umetoa ajira zaidi ya watu 2,000.

Screenshot_20250922-171016.jpg
 
Jisikitie wewe na kizazi chako, yeye wakati huo , Kesha watayarisha watakaobeba hizo ahadi siku zijazo.
 
Back
Top Bottom