Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,639
- 272,447
Ambacho sina hakika ni karma anazitambua shughuli zao
KILA la heri Mawinga
KILA la heri Mawinga
HakikaNgoma ishakua ngumu lzm tuangalie pa kutokea
Ametambua utapeli waoAnawatambuaje yaani!! Habari haijaja kamili ni juu ya kulipa kodi ama nini?
Ikulu ni mzigo- JK NYEREREhana ata mkakati bali ni kutambua mawinga. wenye biashara kariakoo wana kazi hasa
Anayejua mwenyeweKwaio winga analipa kodi
SinaUna kithembe?
Mwenyekiti wa ccmSamia ni nani kwani?
Hapo sawa , anatakiwa apuuzwe kabisa na hicho chama chake cha wauaji, majizi na mafisadi.Mwenyekiti wa ccm
Hilo lakoLakini si inasemekana kwamba mawinga wanaua uchumi kwasababu wanapandisha bei ya bidhaa bila kuziongezea thamani na hivyo kutengeneza wasi wasi kwa walaji?
Nikadhani serikali inawachukulia kama tatizo.