manndungu JF-Expert Member Joined Jul 9, 2020 Posts 503 Reaction score 490 Apr 14, 2021 #41 M Surya said: Kuna mkono wa mtu hapo Click to expand... Mambo ya kina lwanda magere
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,715 Reaction score 49,748 Apr 14, 2021 #42 Kwahiyo tuseme wamefia guest house? Trubarg said: Alfad asee...hizo gari nasikia watu wanazigeuzaga guest Click to expand...
Kwahiyo tuseme wamefia guest house? Trubarg said: Alfad asee...hizo gari nasikia watu wanazigeuzaga guest Click to expand...
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,529 Reaction score 6,940 Apr 14, 2021 #43 Nilipita nikaona hiyo ajali jana. Innalillah wainna illayhi rajiuun
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 40,943 Reaction score 47,029 Apr 14, 2021 #44 Daa, mola awatie nguvu majeruhi, wafiwa na wote wenye kuguswa na ajali
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 10,002 Reaction score 16,235 Apr 14, 2021 #45 manndungu said: M Mambo ya kina lwanda magere Click to expand... Hii dunia yetu basi
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,464 Reaction score 40,267 Apr 15, 2021 #46 Mgeni wa Jiji said: Zipo confortable sanaaa Click to expand... Daah
Matanga JF-Expert Member Joined Nov 13, 2019 Posts 2,281 Reaction score 3,988 Apr 16, 2021 #47 Trubarg said: Alfad asee...hizo gari nasikia watu wanazigeuzaga guest Click to expand... Ila jamii forums ina watu wengi wanaotumia uji kufikiri aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani nimecheka sana jamani
Trubarg said: Alfad asee...hizo gari nasikia watu wanazigeuzaga guest Click to expand... Ila jamii forums ina watu wengi wanaotumia uji kufikiri aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani nimecheka sana jamani
Matanga JF-Expert Member Joined Nov 13, 2019 Posts 2,281 Reaction score 3,988 Apr 16, 2021 #48 Trubarg said: Ndo hicho Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Trubarg said: Ndo hicho Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,654 Reaction score 6,553 Sep 30, 2021 #49 HLM said: Alphad imechomoka tairi ikakosa muelekeo ndio ikagonga haisi ilio kua na abiria wanao toka hedaru kuelekea same, na hata hvyo tumepoteza majirani zetu na ndugu pia. Innalillah wainna ilayranjuin. Click to expand... Nakurekebisha: Tairi haikuchomoka, bali ili-bust
HLM said: Alphad imechomoka tairi ikakosa muelekeo ndio ikagonga haisi ilio kua na abiria wanao toka hedaru kuelekea same, na hata hvyo tumepoteza majirani zetu na ndugu pia. Innalillah wainna ilayranjuin. Click to expand... Nakurekebisha: Tairi haikuchomoka, bali ili-bust
MCN Member Joined Feb 21, 2021 Posts 11 Reaction score 4 Mar 16, 2022 #50 kijani11 said: Duh hilo eneo mbona uono upo vizuri wanagongaje uso kwa uso? Click to expand... Pale tatizo ni upepo Ukikanyaga Sana mafuta upepo unakubeba. Huwa Kuna upepo mkali maeneo hayo
kijani11 said: Duh hilo eneo mbona uono upo vizuri wanagongaje uso kwa uso? Click to expand... Pale tatizo ni upepo Ukikanyaga Sana mafuta upepo unakubeba. Huwa Kuna upepo mkali maeneo hayo