Angalizo zuri sana hilo...Ndio shida ya kuendekeza "huyu avae ni wa kwetu bwana thithi hatutaki mwingine" Lenyewe Limagamba Maghembe linakula bata kiulaiiiiini.Mtajijuu!!!Si mlimchagua nyie wenyewe? Sasa mnalialia nini? Kunyweni hayo mawe na milima yenu hadi 2015 ndo mtapata akili ya kwamba mbunge ni nani. Mkishashiba hayo mawe, nendeni kwa majirani zenu wa Moshi mjini mkapate kozi jinsi ya kupata Mbunge wa Ukweli..
Yupo lakini ni minister, Maghembe.
Tangu nimefika Same ni miaka sita sasa kunatatizo sugu la maji, lakini mbunge wao sijawahi kumsikia hata sikumoja ni jitihada gani atakazo au alizo zichukua kutatua tatizo hili. pia tangu uchaguzi mkuu uliopita hakjaonekana jimboni, Mheshimiwa kama unapita hapa janvini, tunaomba uwe na huruma hata kidogo, watu wa masandare, majengo, same mjini, stesheni, majevu, kiwanja tunateseka saaana
Hata Mimi ninaomba wanajamii tuwe na uhakika wa mambo tunayoyaongelea,Mbunge wa Same Magharibi ni Dr.David Mathayo na sio Pro.Maghembe,
Onyo kwa wachangiaje:NO DATA NO RIGHT TO CONTRIBUTE,hapa mtu anatakiwa awe amefanya utafiti kwanza sio mtu tu anapayuka,mtakuja kushitakiwa kwa kumchafulia mtu jina,si mnajua wapare wanapenda KESI,Be careful,just to remind you,kama hajafanya chochote wapiga kura wanahaki ya kumuuliza kulikoni?
Me like thisSi mlimchagua nyie wenyewe? Sasa mnalialia nini? Kunyweni hayo mawe na milima yenu hadi 2015 ndo mtapata akili ya kwamba mbunge ni nani. Mkishashiba hayo mawe, nendeni kwa majirani zenu wa Moshi mjini mkapate kozi jinsi ya kupata Mbunge wa Ukweli..
Yeyote kati ya hao. Hata kama angekuwa Kilango, Lowassa, Chenge, nk. Ukweli ni kwamba wenyewe ndio wamemchague. So waache kulialia. Wanywe mawe na milima yao hadi 2015.Wana JF tuwe makini na data na tuwe na uhakika nazo. Tuwe na weledi katika kupashana habari tusieleweke vibaya!. Mbunge wa Same Magharibi ni Dr Mathayo David Mathayo siyo Prof Maghembe.
Si mlimchagua nyie wenyewe? Sasa mnalialia nini? Kunyweni hayo mawe na milima yenu hadi 2015 ndo mtapata akili ya kwamba mbunge ni nani. Mkishashiba hayo mawe, nendeni kwa majirani zenu wa Moshi mjini mkapate kozi jinsi ya kupata Mbunge wa Ukweli..
Kama suala ni kupayuka mbona wewe mwenyewe umepayuka humu jamvini.Hata Mimi ninaomba wanajamii tuwe na uhakika wa mambo tunayoyaongelea,Mbunge wa Same Magharibi ni Dr.David Mathayo na sio Pro.Maghembe,
Onyo kwa wachangiaji:NO DATA NO RIGHT TO CONTRIBUTE,hapa mtu anatakiwa awe amefanya utafiti kwanza sio mtu tu anapayuka,mtakuja kushitakiwa kwa kumchafulia mtu jina,si mnajua wapare wanapenda KESI,Be careful,just to remind you,kama hajafanya chochote wapiga kura wanahaki ya kumuuliza kulikoni?
Na Ubungo pia tuna tatizo sugu la maji
wapare mmezidi kuwa wafuasi wa magamba ndo sababu matatizo yenu hayaishi!"MMBEA HAKOSI UMBEA"