Same high school

Same high school

Redson Rivard

Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Wadau wa JF naomba msaada mwenye JOIN INSTRUCTION ya Same High School anisaidie

Au namba ya simu ya mkuu wa shule ya same high school au Barua pepe
 
Duh, Same shule yangu ninaipenda, ni chemchem ya Elimu hapa Tanzania, nitafanya bidii niweze kuishika, itakuwa dira nzuri ya maisha yangu.

Mkuu Anza kushika hizo lyrics za wimbo Wa shule, hopefully hawajabadilisha wimbo.

Anyways, Nina namba ya mkuu Wa shule wangu Wa zamani pale tulikuwa tunamwita Amitha Bachan, kwa sasa najua yupo mwingine.
All the best, ila nimekumbuka mbali mnooooo
 
Pamoja Saana Maana Life Lilikua Tamu Same Acha Uku Msuli Ukienda Vema
 
Kambarage 1,2,3,4 same boys high school ..a place where i will never forget
 
Back
Top Bottom