Sambusa na Elimu

Sambusa na Elimu

sagemba

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
467
Reaction score
30
Mtoto aliamka mapema kuliko kawaida kwenda shule.baba kamuuliza mbona umewah sana? Mtto:nawah sambusa za mwalm. Baba😛umbavu mie niljua unawah kusoma kumbe unawaza sambusa Mtto: funguka baba elimu haina mwsho ila sambusa mwsho saa4
 
Heheheh mtoto hajatulia hata kidogo ni kweli elimu haina mwisho ila kuelimika mapema is mch better than ignorance

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
No ,mtoto yuko sahihi,anajua priority zake!
 
Back
Top Bottom