Sambi sako bhee...

nye swela mkibaba uyo!
 
pedee uyo mkibaba ifwale kiki icho?leggings?
hahaaaaa
 
Huyo binti anaonekana bado mdogo tu kiumri lakinini nikimwangali hiyo proportion ya kifua na mwili wake...inasikitisha! Na bado njemba zinamvuta!
 
mbona kama mchizi sharobaro? ama kweli hii kitu haifai
 
Mmhhh mii hii tongoza nimeipenda sana yaani dahhh..
 
Mmhhh mii hii tongoza nimeipenda sana yaani dahhh..

heheh ile tongoza ya wahindi kwenye movie imeathiri mpaka mwambao wa afrika mashariki na kati, hiyo picha ikitiwa sauti usikute hilo sharobaro linaimba tarabu hapo.
 
Ha ha haaaaa...ndisaka kulongana na veve palubali...use nkubanye...!the the tee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…