Acha kudanganya watu Eti magoli ya Playoff hayahesabiki.............Samatta amemaliza mzunguko wa League na Magoli 20 tu Kwenye mechi za Playoff Kafunga magoli 3 tu Juma ni Magoli 23 ndio kamalizanayo ,Umeelewa Acha Ubishi wa kijinga mkuu bisha kitu unachokijuaPita hiviπππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππhuelewi...
Hahahahahahahahah umeshaishiwa Hoja unakimbili Eti mtunisia ananipa niniHahahaha..penalty goals....eti mkuu huyo mtunis amekupa nn[emoji1787]
Leta hiyo post niliyosema mabao ya playoff hayahesabiki...mm ndo nilisema siyahesabu....we jamaa unasumbuliwa na bhange nshaona..zinakufanya ukurupuke tu....Acha kudanganya watu Eti magoli ya Playoff hayahesabiki.............Samatta amemaliza mzunguko wa League na Magoli 20 tu Kwenye mechi za Playoff Kafunga magoli 3 tu Juma ni Magoli 23 ndio kamalizanayo ,Umeelewa Acha Ubishi wa kijinga mkuu bisha kitu unachokijua
Hujaona hapo hoja...penalty goals...unakurupuka kunukuu nyang'au..Hahahahahahahahah umeshaishiwa Hoja unakimbili Eti mtunisia ananipa nini
Haya Kiongozi nimekuelewa Relax man.Leta hiyo post niliyosema mabao ya playoff hayahesabiki...mm ndo nilisema siyahesabu....we jamaa unasumbuliwa na bhange nshaona..zinakufanya ukurupuke tu....
Hahahahahahahahah Unakimbia Hoja unaleta Hoja tofauti.Hujaona hapo hoja...penalty goals...unakurupuka kunukuu nyang'au..
Hoja si top scorer.....kwan penalty goals haiingii hapo...eti.,Hahahahahahahahah Unakimbia Hoja unaleta Hoja tofauti.
Tumalize Top scorer wa Jupiler league ni naniHoja si top scorer.....kwan penalty goals haiingii hapo...eti.,
Hujanijibu unataka nikujibuTumalize Top scorer wa Jupiler league ni nani
Huo siyo umri sahihi wa samatta ni umri wake wa kazi..endelea kusubiri. Chama chajiuza kibaya.... Ana miaka 26 kipindi ambacho yuko kileleni...
hawajui hata kwamba ligi ya ubelgiji ni bora kuliko ya tanzania mara 10.... ILA LIGI YA UBELGIJI INA TIMU 16 ILHALI YETU INA TIMU 20..... huu ni ukumbafu.....nawashangaa wana google wanaleta charts za apriol wakati league ina play offs jamaa kaja kumpita mwezi wa tano mwishoni huko
Inategemea pia teammate wake wakoje?Me sijaona kiwango chochote kwake
Kila mwisho wa msimu.. Msimu upi na upi?!Nikiwahi kusema ikaonekana wivu, jamaa kwanza umri umesonga, kila mwisho wa msimu wanatuletea tetesi kibao lakini baadae utasikia karudi Belgium.
Saido Berahino wa Burundi aliweza kucheza EPL Samatta hawezi kushindwaNitajie streka ambaye angalau samagoal anamfikia pale EPL.. Anza na timu za chini kabisa maana kwa top 10 hakuna hata mmoja
Samata wa Genk si yule wa Taifa StarsLabda akacheze championship,