The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,616
Dogo acha porojo jamvini jikite kwenye mada na uwe mzalendo
AmenWatanzania mlioko uingereza tokeni kwa wingi mkamshangilie kijana wetu.
Cc The Icebreaker superbug Elli
Dogo acha porojo jamvini jikite kwenye mada na uwe mzalendo
Kwako Jesse JohnView attachment 1372852
Kwa sisi wataalam wa picha ukiangalia toka chini hadi juu. Komposha, attitude na focus aliyonayo yani yuko makini halafu ametawala Centre of gravity. He is simply an exceptional and peculiar striker second to none. Absolutely perfect brilliant and marvelous. Nothing can compare to him.
Bingwa wa unajimu Afrika mashariki na kati mjukuu wa sheikh yahaya katika ubora wakokesho inajulikana mancity anachukua kombe.na huyo samatta unayempaisha juu.kesho mechi itakuwa ngumu kwake truste me
Sent using Jamii Forums mobile app
Muone wivu, kama kawaida ya watu wa dizaini yenu.
Good luck SAMATTA.Watanzania mlioko uingereza tokeni kwa wingi mkamshangilie kijana wetu.
Cc The Icebreaker superbug Elli