Samatta akila "bata" na mashabiki wa Genk

Akaze buti dogo msimu ujao Gunners tumsajili...huyu dogo yuko ki gunners Zaidi..kila la kheri dogo kaza buti hadi kieleweke mwakani utue Imarati.
Hahahah samatta ni man utd die hard fan..kama ulikuw hujui
 
mmeshaanza mambo yenu ya kibongo, usimba na uyanga. acheni hizo tumhamasishe kijana asonge mbele zaidi.
 
Lugha gani hio? Mi najua GAMMON
 
lugha hapo atajiona anatengwa bure

Genk kule wanaongea Flamish Dutch, lakini asilimia kubwa wanaongea kimombo kwahiyo atawasiliana nao hivyo hivyo mpaka atazoea. Wanasoka mara nyingi wanakumbana na hili tatizo la lugha
 
Adi kumpata kwenye picha ni kama quiz
Amekaa upande wa kulia wa aliyevaa sweta lenye picha ya mask meza ya kwanza, kaegemeza mgongo kwenye kiti na kavaa kofia kaigeuzia nyuma.
 
watu wachache sana hawajawahi kula hii kitu wengi wanakula bila kujua na wanarudia tena na tena.... kwa kunogewa na utamu wake.....
 
Huyu kijana awe mwangalifu. Jamaa watamlisha kiti moto hivi hivi.


Maisha ya Ulaya kama huli kitimoto inabidi uwe makini Sana maana hata ukinunua nyama inabidi utafute maduka ya Halaal lakini supermarket za wote ni ngumu. Kwasababu hapo inapouzwa nyama ya ng'ombe/mbuzi ndio humu huko imewekwa kiti moto. Uislam tabu Sana maisha haya
 
Kumbe maisha ya kisoka duniani ndivyo yalivyo hivo, basi dogo atatoboa sasa hivi iwapo kama atakaza buti.
 
na yeye keshakunywa maji ya Ray? mbona wote weupe
 
Atafute demu wa Kibelgiji aoe mwenye uwezo, kisha abadili maisha fasta... sbb mpira una muda mfupi sana kuwa kileleni...
 
Wacha alebata kwan akuna namna time yake tena juzi kaondoa mkosi unafikili mchezo hahahaha
 
Atafute demu wa Kibelgiji aoe mwenye uwezo, kisha abadili maisha fasta... sbb mpira una muda mfupi sana kuwa kileleni...

Mawazo hayo umeyatoa wapi? Demu wa kizungu anataka pasu kwa pasu, unataka Samata hela zote aziache Ubelgiji arudi home na makende tu?
 
Amekaa upande wa kulia wa aliyevaa sweta lenye picha ya mask meza ya kwanza, kaegemeza mgongo kwenye kiti na kavaa kofia kaigeuzia nyuma.
wacha kutuzuga sio yeye, mleta mada umetuingiza mkengeni
 
Hapo walikuwa hawali bata, walikuwa wanakula miguu ya kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…