Tetesi: Samata achezea za mbavu kwa Gigy Money

Mbwana samatta ata hawaz uo ujinga ulionao ww kichwan mwako! Anapigana kuimarsha kipaji chake tu uko ulaya aje ashughulishwe na muuza vinyago wa bongo apa ctarajiii, kama auna stor ya kupost u beter keep quite
 
Weka hiyo communicatiob ya email hapa....kwanza ninashaka kama huyo gigy anayo email....eti Nifah anayo huyu mtu....
 
Mbwana samatta ata hawaz uo ujinga ulionao ww kichwan mwako! Anapigana kuimarsha kipaji chake tu uko ulaya aje ashughulishwe na muuza vinyago wa bongo apa ctarajiii, kama auna stor ya kupost u beter keep quite
KWanza house girl tu mzungu sembuse hiyo takataka ndio imchanganye Samata?
 
Hivi huyo mpenda kick ana jamba jamba nini, naona watu mnampa attention sana,ngoja niwakumbesheni kick zake huyu mjamba mjamba hovyo,alikuwa akija FNL anakuja kavaa nusu uchi na kujishikashika mbele ya camera wakamstukia anaharibu reputition ya kituo, kick nyingine juzi kati akisema ametembea na king kiba mambo ya kick hizo watu wakamchafua king kiba mbaya kabisa, kick nyingine alisema yupo tayari kucheza picha za ngono ilihali alipwe mpunga mrefu tu yani hili toto ni jinga sana akili tope, sasa kaja na kick ya samata ahhhhh kwa kweli, huyu demu ni kumpuuza tu na anawachafulia watu majina yao,ana element za umalaya na hata sitaki kuamini kama alipewa mwaliko halafu atose wakati mbichwa wake unawaza pesa za kiharamu tu.
 
Imebainika kuwa yule msakata kambumbu katika club ya Genk uko ubeligiji Mbwana Ally Samata alimuomba fumu muuza nyago na mjasirimali Gigy Money.
Gigy money amedai kuwa Samata alimtumia e.mail aende ubelgiji ili waspend pamoja na kula bata mpaka bata aseme bata ila gigy money alikataa na kudai et "Samata is not my cup of coffe" yaan samata sio type yake.
Ivyo kaka Samata akachezea za mbavu uku king kiba akiendelea kuchekecha kadri awezavyo mpaka kukinai
haha hili inzi kweli.. nadhani lilitumiwa email fake... linaamini email punguwani jike
4da04a1e99dbbfcc5d98545ee7d40d2f.jpg
 
Imebainika kuwa yule msakata kambumbu katika club ya Genk uko ubeligiji Mbwana Ally Samata alimuomba fumu muuza nyago na mjasirimali Gigy Money.
Gigy money amedai kuwa Samata alimtumia e.mail aende ubelgiji ili waspend pamoja na kula bata mpaka bata aseme bata ila gigy money alikataa na kudai et "Samata is not my cup of coffe" yaan samata sio type yake.
Ivyo kaka Samata akachezea za mbavu uku king kiba akiendelea kuchekecha kadri awezavyo mpaka kukinai
4da04a1e99dbbfcc5d98545ee7d40d2f.jpg
Hii nadhani ipulizie perfume inukie nitarudi kwahiyo ndo kakutuma au na wewe amekutumia e-mail??
 
Mbona watu wanashambulia sana:Yule msichana aitwae Gigy Money aliitwa TV1 na akatamka hayo maneno kwa kebehi kubwa kipindi kinaitwa weekend Gossip.Yeye ndie amemdhalilisha Star wetu samata ,sio wadau hapa hakuna cha sheria ya mtandao hapo chanzo ni TV1
 
Back
Top Bottom