Samaki wakavu wanapatikana

Samaki wakavu wanapatikana

RUSSESABAGINA

Senior Member
Joined
Dec 23, 2016
Posts
167
Reaction score
239
Habari za muda huu wana Jf,

Samaki wakavu wanapatikana, ni wa maji baridi, aina ya kitoga kutoka Ifakara. Wamekaushwa kwa moto.

Wapo wa ukubwa tofauti tofauti, Bei ni kuanzia 3000, 4000, 5000 hadi 15,000 samaki mkubwa kabisa.

Ofisi yetu inapatikana Mwanayamala Magengeni. Au piga simu 0719 -551-375

Karibuni sana.

IMG_20191204_224514_022.jpeg
IMG_20191204_223109_155.jpeg
20191204_220127.jpeg
20191204_215004.jpeg
20191204_214913.jpeg
 
Unapika kama samaki wengine tu, isipokua hawa unaanza kuchemsha maji kwanza
Yakishapata moto unawaloweka kwa dakika 7 had 10 kwenye hayo maji then ndo unawapika..

Ni watamu sana kwa nazi ama chukuchuku.
Wanapikwaje?
 
Back
Top Bottom