Samaki wa mtera

wanan

Senior Member
Joined
May 11, 2011
Posts
141
Reaction score
44
Habari.naomba kupata maelekezo na uzoefu njisi ya kupata samaki wa bwawa ka mtera toka kwa wavuvi.
1.bei
2.gharama km malazi
3.usafirishaji
4.changamoto
Thanks in advance
 
Nilishazoe kuweka miguu kwenye ndoo ya maji ya baridi usiku,nikikesha kusoma....japo niliibuka na division five [emoji22] [emoji22]
Haha pole sana.... Mie ni standard 4
 
Hapana Bora yako una leaving certificate
Leaving niliyonayo haiwezi hata kunisaidia kumpa majibu mtoa mada.... Nimepitwa mengi na wenzangu ambao hawakupoteza muda wao kwenda sekondari
 
Leaving niliyonayo haiwezi hata kunisaidia kumpa majibu mtoa mada.... Nimepitwa mengi na wenzangu ambao hawakupoteza muda wao kwenda sekondari
Komaa... Ila kama Nakuona wakusoma ... Upo chuo sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…