Samaki wa mapambo Ziwa Tanganyika

Samaki wa mapambo Ziwa Tanganyika

mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
9,286
Reaction score
6,727
Tafiti zinaonesha kwamba Ziwa Tanganyika lina aina zaidi ya 350 ya samaki wa mapambo, mbali na samaki aina ya migebuka na dagaa zilizozoeleka.

Kwa wakazi, hasa wavuvi Kigoma, hii ni fursa nzuri ya uchumi na utalii. Ni muhimu kwa Serikali kuchukua hatua stahili kutinzana kukuza fursa hii.

Baadhi ya aina hizo ni kama picha zifuatazo

1bf573d0f9d771661d1445278b7660e0.jpg

cffd94e70d016938fed0bfdeb2612b2f.jpg

7b5a5338ab2fa795cade6dbc553391ed.jpg

7daae1269d708dc4170e66fdeb0d2744.jpg

b3f1cfcd617b047de7dbd3f6227dfbf3.jpg

01bea6dfdc07e28f7c1ec7a84970a5c7.jpg
 
Wanapatikana eneo lote la ziwa au Ni kwa baadhi ya maeneo tu
 
Hao samaki wanapatikana baadhi ya Maeneo kwa aina tofauti, kuna wanao patikana mwambao wa Kigoma, Maeneo ya Rukwa kama Kipili, Kasanga, Kabwe, Ikola, kuna wanao patikana Zambia na aina nyingine Nchini Congo hasa Moba
 
Kuna mmoja mzuri Sana wa ziwa Tanganyika nilimkuta mahali anauzwa Dola 270
 
Back
Top Bottom