Samaki wa Bukoba

Kwanini lakini tunatamanishana hivi?[emoji39][emoji39][emoji39]
Ila wewe jamaa starehe yako kuu itakuwa misosi, uongo kweli?
Kila MTU aendapo bk atakutana na mambo hayo maana bk ni mji wa starehe
 
Kwanini lakini tunatamanishana hivi?[emoji39][emoji39][emoji39]
Ila wewe jamaa starehe yako kuu itakuwa misosi, uongo kweli?
Ni kweli mkuu, I love food.
 
kila nkiona uzi wako mkuu najua nkiufungua lazima ntakutana navitu viwili

1) kileo

2) minofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…