Samaki niliokulia

Wee IGWE wewe.......Hilo jeusi ndio linini.......?......
 
Mborokona hirikiyo Pirikichaa haifungurukukii...
 
Ahahahaaaaa....Preta...huyo anaitwa Kambale a.k.a ngumba. Hope hujawai ona maake huko Yaeda chini hamna samaki watamu.
 
Kumbe IGWE na Pj ni wapiga kura ya waziri wa sheria!! Nyie jamaa mbona ndugu zenu hawampendi muwakilishi wenu mpaka wanaandamana kufurahia anapokosa uteuzi mkuu!!
 
Kumbe IGWE na Pj ni wapiga kura ya waziri wa sheria!! Nyie jamaa mbona ndugu zenu hawampendi muwakilishi wenu mpaka wanaandamana kufurahia anapokosa uteuzi mkuu!!

Ni mambo ya siasa hayo mkuu.....!
Mkuu umeona masamaki ya kwetu lakn..?
 
Kweli hawa maji baridi, na kambale humo humo
 
Tuliokuzwa na kambale tukutane hapa. Watu hawampendi kambale kwa kuwa anasura ya kibandidu na weusi wake ila ni mtamu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…