Wakazi wa Dar Es Salaam karibuni sana kujipatiana mboga nzuri kutoka Bukoba kwa bei nafuu.
Tunauza aina mbili za hawa samaki waliokaangwa na kubanikwa.. Tunao sangara na sato waliokaangwa au kubanikwa kabla ya kuwekwa kwenye friji .. Kwa wanao hitaji kwa bei ya jumla au reja reja karibuni sana.. Watakao hitaji kwa wingi tunaweza kukuletea mpaka hapo kwako.. Karibuni sana