Samaki ana mengi ya kusema ila yuko kwenye maji.

Samaki ana mengi ya kusema ila yuko kwenye maji.

Emanuel14

Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
32
Reaction score
10
Wadau nimeukuta huu msemo mahali, naomba tuujadili. Je ni kweli samaki hasemi wala hatoi sauti kwa kuwa yuko au anaishi kwenye maji? Au ni fumbo?
 
samaki huyu huyu tunaemjua..........?
 
hiyo ni sahihi mdau cz wt wng wana hoja ila wakufikishiwa haonekani hilo lipo hivyo ni sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom