Samahanini wana Jf i need 2 know ths..

Samahanini wana Jf i need 2 know ths..

Kwidikwidi

Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
27
Reaction score
12
Khabari za wkt huu wakuu?..kwa alieitikia bac mwenyez Mungu mwingi wa rehema azidi kumbariki! Jaman naomben mnijuze maana ya hili neno 'lol' coz nimeona lina2mika several tymz jamvini hapa!

ni kifupi cha 'Laugh Out Loud' utumika unapoandika maneno ya kuchekesha!...lol..

kuna thread inazungumzia kwa upana zaidi na maneno mengine mengi.......itafute utajifunza mengi

nisindikize.

Back
Top Bottom