Ndio.Habari za masiku?
Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu.
Ni hivi,kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana,lakini inatokea mwenzangu anataka,sawa ili nisipelekwe kwa baroz nyumba kumi kuwa namnyima unyumba mwenzangu naamua kukubali kusex.Sasa shida inakuja kwenye kufika kileleni inabidi nipretend nimefika kwa namna yoyote ili nawe umalize tu uinuke niwe huru from mbanano.
Swali langu ni hili,hivi huwa mnagundua kwamba hatukufika Kibo na Mawenz ila tumepretend kwamba tumefika?
Yaan kama wengi mwatambua,nimeshajua kuwa huwa anatambuaKe uki-fake kufika kileleni lazima tujue.
Anakuacha tu kwa kuwa anakuwa ameshamaliza yakwake.
Mwanamke aliyefika angani anajulikana kwa mambo mengi tu, hivyo usijidanganye kuwa huwa hajui labda kama si mjanja.
Ufike usifike shauri yako, kuna muda nakupa hela huko rohoni naumia ila kwakuwa inahitajika sisi tuwahudumie nalazimika kutoa tu, pia kuna siku wewe unahitaji kunjunjwa mimi sitaki ila nakunjunja hivyohivyo kukuridhishaHabari za masiku?