Samahani sijaielewa hii picha.

Safi sana kama hujaielewa utaendelea kuishi kwa amani moyoni mwako. Ukiielewa utaumia sana
 
Hiyo shule wanasoma watoto ambao wazazi wao ni CCM pekee?

Tuonesheni na shule ya chadema tukaikarabati.

n kama kusema shule ya kiislam haina maana kwamba wakristo hawaruhusiw kusoma hpo,,,' kuna viwanja vya michezo vya CCM, ccm kirumba! michango tuliyochanga si ya kukarabati mali za chama
 
n kama kusema shule ya kiislam haina maana kwamba wakristo hawaruhusiw kusoma hpo,,,' kuna viwanja vya michezo vya CCM, ccm kirumba! michango tuliyochanga si ya kukarabati mali za chama
Nyie hata ofisi ya makao makuu hamna mnapanga kwa Mtei halafu mnataka uwanja wa mpira? Unanchekesha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…