Kuna kitu nataka sema, nimekuwa najibu mada tofauti ambazo sio zangu.
Jamani sio kusudio langu, sikujua bado najifunza kutumia jukwa hili vyema.
Kuna baadhi ya watu wameniambia na nimefurahi kufahamishwa na nimeomba msamaha.
Ambao hawakusema kitu nawaomba msamaha na hao pia.