Samahani sana Mbw....o

i have a doubt abt this JF member so called Vivian...

cjui ndo wale dadazetu waliopo mbele af wana-doo vi2 sivyo ndivyo...? am getting

worried, heshima ni kitu cha bure jamani...hata kama haujulikani kiukweli lakini hiyo

courage ya kulogin JF na kufungua kurasa na kuanza kuandika vitu kama hivyo

unautoa wapi aisee...?

Acha kutujazia nzi hapa wewe...cha ajabu kipi?

Vivian,asante..nimecheka kwa mara ya kwanza leo..
 
Warembo watatu walikuwa wakisifia majina ya wapenzi wao, hususan jinsi ya kufupisha majina pindi wanapotaka kuwaita.
Wa kwanza alisema boyfriend wake anaitwaTusamale, hupenda kumuita Tusa au humuita Male kwa kifupi.
Wa pili alisema yeye wakwake anaitwa Rutatila, na kwamba anapendelea saaana kumuita Ruta lakini mara chachechache humuita Tila.
Ukapita ukimya kidogo, huku hawa wadada wawili wakimuangalia mwenzao. Wakamuuliza shosti mbona upo kimya ?
Kwa sauti ya upole sana akawajibu: "nilikuwa nafikiria... kwani boyfriend wangu anaitwa Mbwambo.

Hehe kula tano kwanza za mbali mtu wangu vivian....alikua hana jinsi ya clip hiyo name mazee.... so akaamua kuuchuna kama vile......
 
Dada Vivian
Nadhani katika unyago kungwi wako hako kajina kapili alikunyagorisha vilivyo na hakika kamekukaa
shuguli kwako
 
i have a doubt abt this JF member so called Vivian...

cjui ndo wale dadazetu waliopo mbele af wana-doo vi2 sivyo ndivyo...? am getting

worried, heshima ni kitu cha bure jamani...hata kama haujulikani kiukweli lakini hiyo

courage ya kulogin JF na kufungua kurasa na kuanza kuandika vitu kama hivyo

unautoa wapi aisee...?

Hahaaaa, watu kwa uchokzi bwana!
 
Kwa kweli hii trend inachekesha..
Ukifupisha jina la bwana kaka lina kuwa eitha dog or penis.
Bongo dukinaaaa... Shalo tinatina
 
kwa makabila mengine kama ya Tanzania, mboro ni jina la ukoo na linatumika vizuri sana na mbele ya watu wote.
 
i have a doubt abt this JF member so called Vivian...

cjui ndo wale dadazetu waliopo mbele af wana-doo vi2 sivyo ndivyo...? am getting

worried, heshima ni kitu cha bure jamani...hata kama haujulikani kiukweli lakini hiyo

courage ya kulogin JF na kufungua kurasa na kuanza kuandika vitu kama hivyo

unautoa wapi aisee...?

Kwani hapa cha ajabu ni nini, wewe ndo tunakushangaa unafunguafungua thread bila kujua maana zake thread hii ni ya Jokes na udaku. Magazeti ya udaku yako public yansomwa na watoto pia na huwa hayaandiki tu maneno yanatoa picha za uchi sijakusikia ukipiga kelele.

Kwanza Vivian hajaandika matusi yeye kaandika Mbwambo ila wewe ndio unamawazo ya kimatusimatusi, kwani mbwambo ni matusi, big up Vivi..mimi napenda kukuita ..an....au han... mwaga zingine tutaokota achana nao.
 
Back
Top Bottom