Diamond wakati unatoka naaamin hukuwa na Fela wala Babu tale,hawa wamekuja baada ya kuhisi unakitu cha kudumu ktk kipaji chako ndo maana wanajitahd kujfanya wao ndo managers wako kumbe wamekukuta ukiwa ktk peak,amka kjana hawa hawa wanakutupa siku c nying ufanye nyayo za wenzio tajwa hapo juuu,pia clouds sio watu wema kwako wanakufanya uonekane u mtu wao huku media nyingne zkuone vipi?utatengwa nao afu utatupwa uonekane sio kitu...amka kjna mapeeema hao n walaghai wengi wa mikosi... Afu kingne punguza kujiamin sana kura za watu hazna bettin mkuu mtoto wa uswazi
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨