Samahani mpenzi mtarajiwa

Samahani mpenzi mtarajiwa

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Najua umekwazika baada ya kupitia pitia post zangu na kushangaa kama ni mm kweli au huwa ninapost kwa kutumia makalio. Nisamehe sana, naomba usizichukulie serious, humu mjengoni I usually post crazy shit only 2 have funny reading damn answers from upset niggaz. Kwahyo maongezi yetu PM yaendelee na ninakuapia sitapost ujinga tena! Nakupenda kuliko mshahara wangu, aki usijam.
 
si ungempa ujumbe huko huko mkuu? kama umeamua kumpa hapa basi conversation yenu iendelee hapa hapa tuwaone
 
  • Thanks
Reactions: amu
Ngoja Nitazame Movies Maana Kila Kitu Damn,escrow Napo Damn Khaa!
 
Mapenzi ya kujulia ukubwani ni kero sana,uko kama ndugai kupanda ndege daraja la kwanza ametaka kila mwana kongwa ajue.
 
Mapenzi ya kujulia ukubwani ni kero sana,uko kama ndugai kupanda ndege daraja la kwanza ametaka kila mwana kongwa ajue.

hahaaaaa u made my night, ushamba mwingine bwana, hapo anajiona mjanjaaa! Ms.Lincoln nisaidie kucheka.
 
Last edited by a moderator:
Haaa ha mtaje jina mkuu ili tujue hw serious it is!!itabidi nami nijifunze post things positively yasije nikuta kama yako...... kila la kheri we na mama yoyo wko :violin:
 
hahaaaaa u made my night, ushamba mwingine bwana, :sick::A S-rap:uhapo anajiona mjanjaaa! Ms.Lincoln nisaidie kucheka.

Drama!ushamba!sasa kama ni mtarajiwa wako bado mpo PM mpaka leo!!kila mtu akianza kumfungukia lover wake wa jf utajiona wewe huna mtarajiwa wala nini!!Grow uuuuup!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom