Samahani mke wangu



Hahah, kumbe wanapitia mengi na mipango ya nje.

Wewe bwana, eti package ya kugombania...lol
Halafu umeona, Shughuli inakuja hapo mtu anapo fall kabsa kwa mbebez wa kuvizia, anajikuta ka fall wakati bae ndo kwanza kachoka nae. Ni hapa sasa kama hivi mtu anachanganya akili na kutangaza nchi nzima kuwa alikuwa mistress.

Halafu mtu sijui huwa wana hakika vipi kuwa atamwacha mkewe achukuliwe yeye, watu wana moyo mbona.
Afadhali yake huyu Zogoo mambo yalibadilika before it's too late, before the mcheps couldn't do more harm to his family.
 
wanawake sampuli ya mkeo ni nadra sana kuwapata,
wapo wengi tu mtaani,
humu jf utasikia wanasema "kwenye makanisa ya kiroho wamejaa wanawake..!"
huku waume zao wakitumikia michepuko.
tofauti tu wengine huwa hawasemi tena wakishachoka hujishughulisha na kuzalisha kipato, fellowship, ibada baasi.
wengine husema kama wa mtoa mada na mwishowe huondoka.
wengine hawasemi huwa wanaondoka na kukutana na watu sahihi...
usishangazwe na wingi wa waumini wanawake makanisani kutokana na mambo ya kuwaumiza katika ndoa.
 
Michepuko wapo kukuharibia ndoa yako, mrudie mkeo na watoto, muombe mungu akusaidie.
 
Teh wanakutana na mengi mnoo, basi tu. Me nasemaga mara nyingi ukishakuwa kamchepuko na ufahamu wako kidogo unafungwa. Mwanaume wa hivyo unakuwa naye kwa machale mnoo ni bonge la red flag , anavyoitreat familia yake/mkewe now, what's the guarantee kuwa hatokutreat na wewe hivyo hivyo hapo baadaye??. Sema michepuko ndo vile inajionaga imekamilika kila idara ndo maana Mume anachepuka eti teh. Sasa mingine ikishaachwa ndo na kichaa juu.
Huyu zogoo ashukuru Mungu alitoka huko shimoni mapema
 
Reactions: kui


Exactly, ni kweli.
 

Ngastukaaa
 
Ukigundua kuwa mke hakuhofii tena unapata wakati mgumu sasa kujinyenyekeza.
 
Haha nimeshangaa ati, yakiwafika pabaya wenyewe wananyoosha bendera nyeupe.
Hakuna haja ya limbwata wala nini. 🙂
Limbwata la kazi gani, ukamuharibu mtu akili bure
 
Reactions: kui

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…