Samahani mke wangu

Kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu wakati wote huwa kunasaidia sana. Hata tatizo lilikukuta unajikuta unajua wapi pa kukimbilia, so fasta unamkabidhi Mungu your battle.

Teh kui usifanye utani na kuachwa buana, afu ukute mistress alijua yeye ndo top, baby kafika teh, si unajua wanavyojuaga kujipa matumaini. Ghafla baby kakata kamba na kuitafuna kabisa karudi kwa mkewe hehehe. Na wengi huwa wanajidanganya at first Kuwa huyu ni wa kumchuna tu au napitisha tu muda, but wengi along the way huwa wanajikuta wamefall mazima na kutamani wao ndo wawe the top priority. Wee inahuu kula "package" ya kuvizia/kugombania.

Kuna comment niliiona jana, mwingine aliuacha mchepuko, mchepuko ukaenda kumroga usiku anaamka anaona panya kanyofoa dyudyu, ila kuna mzee alimsaidia dyudyu ikarudi Teh. Na mwingine ukute akishaachwa ndo atamtafuta mke halali ili amwambie kuwa nilikuwa natembea na mumeo. Sasa bibie si ushamwagwa, unataka mke amuache mumewe au? Kwendraaa. Tuwaache tu wafanye huo ujinga, moyoni bado wana bitterness, kuwa rejected mchezo teh
 

Leo umecoment kiswahili, sijui ni mada ndo ilivyo
 
Heheheheh

Acha mke aondoke

Ndio atajua thamani yake
Teh unaleta ugomvi wa mawe na huku unakaa kwenye nyumba ya vioo.

Huwa nasoma comments za baadhi ya wanaume afu nawasikitikia. Utakuta ana mke, ila nje ana michepuko sijui ulevi, kurudi sometimes hadi asubuhi na maudhi kibao. Ila atajisifia sasa, mke wangu haniulizi chochote, yani hajali, na huku ndo watamdanganya kabisa "ooh huyo mkeo ndo ameshakomaa kwa ndoa". Naogopa mnoooo kumess up na mtu mkimya/mpole, hujui nini anawaza nafsini mwake, siku akinyanyua uso wake ni hutooamini. Kweli silence is the best weapon, ona huyu analia lia sasa hivi gademuu
 
You had a taste of paradise and lost it aiseeeee.

Umekubali kabisa Vick aondoke?
 
zogoo mkeo anayo hekima ... mupe nafasi afurahie maisha achana na michepuko wewe
 
hahahahaahahaa.....zogoooo.....tatizo wewe michepuko inakuzingua mpaka unasahau watoto....mchepuko lazima uelewe familia yako ndo kila kitu,,, akizingua unamzingua,,, sasa zogoo wewe umeharibu bana.....pole sana,,,rudi kwa Mola.

Ndo maishi, pia marafiki wengine sio mkuu vikichagizwa na maji ya pale Ilala
 
Daaaaa Mkuu ulikuwa unamrekodi hayo yoote aliyokuwa anayasema mkeo? au kuna vinyoongeza kidooogo?. Yote kwa yote kuna funzo apo.

Ni mengi sana ameyaongea nami pia nimeongea mengi sana aliongea kwa jazba, hisia kali nikawa mpole nimechukua baadhi tu,
 
Asa Asante mkuu, pamoja sana
 

Usiruhusu aondoke, sema naye nyenyekea angukia mkuu
 

Very touching.
Nafikiri funzo Zuri sana kwa Walio Katika ndoa kumtegemea MUNGU Kama msuluhishi wa matatizo
Katika ndoa na sio kuzitegemea akili zetu Kama nyenzo za usuluhishi.
 
Hivi kumbe mkiomba msamaha huwa mnamaanisha?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…