Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,142
- 7,402
Tatizo JF kuna vijana wa Lumumba wao kwa matusi ni kiboko..
Ha ha ha ha mkuu platozoom huyu jamaa alikuwa anamvizia sana Nifah na Diva Beyonce,ila walivyosikia jamaa ana utajiri wa kwa Mwandulami imebidi warudi nyuma hatua mbiliMimi Ngosha babu yao!!! Nasikia Lusajo11 keshakosa mashori watatu kwa sababu yako...[emoji1] [emoji1]
Lusajo mtafute barafu umyeyushe kwa jua