jaribu kufafanua mkuu, ya simu au ya pc? Kama pc tumia torrent client kama utorrent au tixati..kama huna download hapatixati - Google Search then nenda google andika jina lolote mfano fifa 14 then mwishoni weka kat.ph yaani ionekane hivi "fifa 14 kat.ph" waweza chek mfano hapa fifa 14 kat.ph - Google Search
waweza chukua link yeyote hapo..