What went wrong?!
Wewe sasa ndiyo unamchafua kwani hilo sisi wengine hatulijui ila ndiyo unalitambulisha humu.Watu wakiamua kukuchafua, Huyu kuna kipindi kachafuliwa sana humu kuwa ni....... Ila Mungu ndiye anajua.
Safi sana Mtume Sam
Kama hulijui halikuhusu endelea kujua hayo yanayokuhusu.Wewe sasa ndiyo unamchafua kwani hilo sisi wengine hatulijui ila ndiyo unalitambulisha humu.
Kama hulijui halikuhusu endelea kujua hayo yanayokuhusu.
Sam Manoti kapatwa na nini?
Kwani wapi aliposema anataka udc?Usifanye mchezo na mahela..... ndo mahesabu yanafungwa hivyo, bado siku 11 tuanze namba mpya. Ukifanya bidii hizi siku 11 zilizobakia lolote laweza tokea.