Sam Misago - Ballin An Chillin: Video Nzuri, wimbo mbaya

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wadau;

Nimepata Time Ya Kupita Youtube Na Kuchek Video Ya Sam Misago Ballin And Chillin! Video kali Thanx Director HQ huwa Huniangush Mlugulu Mwenzangu! Ila Nyimbo Pumba Kabisa! Yaan Sijaelewa Hata Moja!!!

Nadhan King Kiba Anapaswa Kumuunganisha Na Huyu Mwanafunz Katika Yale Mafunzo Atakayomuandalia Diamond!!! Maana Naona Wote Wanaimba Pumba Video Kali.
 
Sabakher Wadau;
Nimepata Time Ya Kupita Youtube Na Kuchek Video Ya Sam Misago Ballin And Chillin! Video kali Thanx Director HQ huwa Huniangush Mlugulu Mwenzangu! Ila Nyimbo Pumba Kabisa! Yaan Sijaelewa Hata Moja!!! Nadhan King Kiba Anapaswa Kumuunganisha Na Huyu Mwanafunz Katika Yale Mafunzo Atakayomuandalia Diamond!!! Maana Naona Wote Wanaimba Pumba Video Kali.
sam misago hana kipaji cha kuimba/muziki hata kidogo, hana vocal, sauti yake ni ya chini, anatoka nje ya key, sauti yake ni ya kuongea haifai kuimba..ana madhaifu mengi sana.. kuimba na ku-rap hawezi abaki kwenye utangazaji toka ule wimbo wake wa kwanza ameimba uchafu mtupu na huu hivyo hivyo.
 
Sam misago nadhani lengo lake ni kuuza sura tu kwenye video na kuwa karibu na vixen wa Bongo.
 
Sabakher Wadau;
Nimepata Time Ya Kupita Youtube Na Kuchek Video Ya Sam Misago Ballin And Chillin! Video kali Thanx Director HQ huwa Huniangush Mlugulu Mwenzangu! Ila Nyimbo Pumba Kabisa! Yaan Sijaelewa Hata Moja!!! Nadhan King Kiba Anapaswa Kumuunganisha Na Huyu Mwanafunz Katika Yale Mafunzo Atakayomuandalia Diamond!!! Maana Naona Wote Wanaimba Pumba Video Kali.
Watu wanwekeza kwenye vichupa tuu audio hawana mpango hahahaaa...
 
Sikuiz mziki sio kipaji tu na ndio maana unaona mtu kama Diamond ana mafanikio ya kwenye mziki kuliko hata wenye vipaji kama Ali kiba.
 
Kwi kwi kwi kwi!! Imebidi nikimbilie You tube baada ya kusoma comment za watu hapa nilichokikuta huko siri yangu !!
 
Ni mtangazaji mzuri ila kuimba hapana, hawezi hata kidogo. Uvamizi wa kazi za watu ni hatari sana kwa ustawi wa jamii
 
Back
Top Bottom