Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,991
mkuu mm sasa ni azam tuuHao ITV tokea wapigwe faini.kwa "kosa" la kureport taarifa ya kituo cha LHRC
Hivi sasa wamekuwa kama TBC..
Una muda wa mchezo sana..kwangu mm marufuku clouds FM, clouds TV, radio one, TBC, ITV. Ni marufuku kwangu..!! Habari naangalia azam two ..nikitaka mpira dstv, nikitaka yanga azam anatosha..nikitaka mziki MTV base, Chanel e ya majizo basi..!! Wanafki hawana nafsi kwangu.mahela .
kipindi chako kinakosa mvuto. wanangalia wachache.
mosi, unauliza mambo ambayo ni ama huyajui au umedangishwa.maswali mengi uliyomuliza jafo ilifaa umulize mtendaji wa kata au Mek (mratibu wa elimu kata)
pili, kipindi kinakosa mvuto kwa kuwa kuna fanani/ msimuliaji tu. na hadhira hairuhusiwi kuliza maswali.
tatu, maswali unayouliza siyo fikirishi .yanampa muulizwaji nafasi ya kuelezea hisia badala ya actual facts. mfano wewe unasemaje? hupaswi kumuliza wazir hivyo kwakuwa hujamwalika.kama mtu bnafsi. umeialika wizara.
nne, unatumia vibaya gesture? kuongeza chunvi yale unayoyaongea.huwapi watazamaji uhuru wa kuamua juu ya unachohoji.
nakifananisha kipindi hiki na mazungumzo baada ya habari. bwana juma ngondai. alikuwa ananiacha na maswali mengi sana pasi na majibu.lakini sasa najua alikuwa anadanganya, kutisha na kuogofya watu.
mahela boresha kipindi.ruhusu simu toka kwa walaji
Fact TV ya mabibiITV imepoteza muelekeo .
Tindo unaweza kuwa na kipindi ambacho watu hawapigi simu lakini kama host ni mzuri kinanoga tu. Huyu Mahela wengine tulisema muda mrefu kwamba anabore na anaingia katikati ya kipindi. Ni mtangazaji wa ajabu sana wakati mwingine yeye anajigeuza kuwa ndiye mwalikwa anajijibu maswali yake. Anauliza maswali ya hovyo hovyo kabisa. Labda naye anavizia fursa kama za akina Buhohela za kutokea kwenye Dakika 45 kwenda idara ya Mawasiliano Ikulu!Hicho kipindi kina dakika nyingi lakini ni kama kipindi cha propaganda za ccm/serekali. Kipindi ambacho hakina kupiga simu na kuuliza maswali kisha mjadala wa mtu mmoja huwa nakipuuza. Hofu imeikumba ITV toka awamu hii iingie madarakani, ni kama imenyooshewa kidole na mkulu. Hapa tusubiri muda wa huyu jamaa uishe, huenda ikarudi katika ubora wake.
Mkuu unamaanisha nini kusema muda wake uishe? 2020? Mbona kuna dalili anaweza kuondoka mwenyewe baada ya zoezi la 26/4?Hicho kipindi kina dakika nyingi lakini ni kama kipindi cha propaganda za ccm/serekali. Kipindi ambacho hakina kupiga simu na kuuliza maswali kisha mjadala wa mtu mmoja huwa nakipuuza. Hofu imeikumba ITV toka awamu hii iingie madarakani, ni kama imenyooshewa kidole na mkulu. Hapa tusubiri muda wa huyu jamaa uishe, huenda ikarudi katika ubora wake.
Sio lazima kupiga simu maana hata wapiga simu huwa wanapangwa waulize nini. ilitakiwa kipindi kina uliza maswali bila kumpa mgeni kutoa ngonjera kuiga sio kubaya hivi hawaoni BBC Hardtalk, unapigwa maswali kama boxing unawekwa corner hakuna hadithi.Hicho kipindi kina dakika nyingi lakini ni kama kipindi cha propaganda za ccm/serekali. Kipindi ambacho hakina kupiga simu na kuuliza maswali kisha mjadala wa mtu mmoja huwa nakipuuza. Hofu imeikumba ITV toka awamu hii iingie madarakani, ni kama imenyooshewa kidole na mkulu. Hapa tusubiri muda wa huyu jamaa uishe, huenda ikarudi katika ubora wake.