Huku Salon Yake Kubwa Ikiwa Hiyo Ya Hapo Nyuma Ya Kituo Cha Mwenge Cha Mabasi Yaendayo Tegeta, Kawe, Bunju, Kunduchi Na Bagamoyo Iitwayo CHOGAM. Nadhani Hata Baadae Lazima Tu Ataenda Hapo Kujitengeneza Na Anapenda Mno Scrubbing Na Kuweka Nywele Zake Dawa. Ila Ninachompendea Huyu Mdogo Wangu Na Poti Pia Ni Kwamba Popote Awapo Huwa Hajui Kuringa au Kumdharau Mtu Kama Mtangazaji Mmoja Hivi Wa KIUME POPOMA Wa Mawingu Tv Kipindi Cha 90 Degrees Zidisha Mara 4 Kisha Total Yake Ndiyo Kipindi Chake Ambaye Hupenda Sana Kuwa Na MAJIPU ( Kuringa ).