muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,231
- 15,643
Mhhhh,mkuu umeua...Huyu mahela nasikia ni danny mtoto wa mama
huyu jamaa ni mjinga sana akimuhoji mtu utadhani anataka kumtia vidole machoni anarusha rusha mikono muda wote.
hahahahahah nimecheka sanaMimi ananiachaga hoi anapobana midomo halafu anasema.. Mimi ni sama mahela (anatulia kidogo, anarudisha shingo nyuma kama ndege fulani kule kwetu wanaitwa nyamwiduli, kisha anapeleka shingo mbele) halafu anabinua mdomo anamalizia... Wa aitivi.
Kuna siku alikuwa anasoma Chiku Lweno sasa wakati sam anaripoti, alipobinua mdomo tu na kutulia kidogo akakatwa.
hahahahahaAnataka ukuu wa wilaya ngoja watampakua
Tatizo s ukuu wa wawilaya, CCM n chama kkubwa na kkongwe lazma kiwe na wafuasi wengi, yaani kati ya kumi saba n Sisiem...Ni waandishi na watangazaji wachache tanzania wasio wanaCCM. Mbele ya zawadi ya ukuu wa wilaya wengi walijisahau na wameua taaluma.Vumilieni ipo siku watajitambua!
DuuuhJamaa kawa mcongoman siku izi sio bure! Mapoundaa kibaooo
Duuuh haya makaburi hayaMhh Jitu dume anatia midawa kwe nywele km dadake...utamweleza nini huyo!!![emoji57] [emoji57] [emoji57]
Una uhakika?Huyu mahela nasikia ni danny mtoto wa mama
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Halafu nasikia jamaa mashaallah ,hana Roho Mbaya