Sam Mahela mbona sikuelewi?

Kumbuka kipindi cha uchaguzi...fisiem walimchukia sana....mimi nafikiri sio mnafiki.
 
Iko wazi: nyuma ya pazia kuna nafasi za uteuzi.

Anaota nafasi za uteuzi kama ilivyotokea kwa Godwin Gondwe na wengineo...
 
lakini wandugu nani hataki maisha mazuri? wewe unapewa V8 na dereva + ulinzi, nyumba ya bure, mshahara mnono kwa nn usijichetue!
 
yaani mkuu umenichekesha hadi nimetoa machozi,kweli jf kiboko.
 
Kama Alice Kapiga wa clouds tv,naye kila habari anayosoma analeta umbea juu yake sasa ilikuja balaa siku anatangaza habari ya UKUTA nilisubiri kwa hamu atasema nini kumbe kafyata kama mkia wa panya akarukia habari ya mbele
Sam sio mwanaume kamili, ana chembe chembe za ushoga na bora sasa hivi anajitahidi kujikaza, utotoni ndio ilikuwa balaha
Umekua nae?Hebu weka yote hadharani mlikua mnafanya nini mlipokua watoto
 
Swali kidogo, Unamlinganishaje na watangazaji wa CNN!
Ni sawa na kulinganisha TBS na BS.... CNN uwa-rate kwa viwango vyao na huyu umu-rate kwa viwango vyenu Tanzania.... Ni kiwango gani Tanzania kinacho karibia achilia mbali kukidhi viwango vya Kimataifa? swali juu ya swali....
 
Mimi namkubali anaubunifu, tuache chuki binafsi ITV inawatangazaji bora, pia HATA reporters wake wako poa
Bavicha wanamchukia kwakuwa alimbana Msigwa.. Kama wanavyo mchukia Salim kikeke alivyo mbana Maalim Seif..
 
Yani akija waziri anahojiwa maswali ya kikawaida sana lakini akija wa upinzani anabanwa na maswali. Haya shauri yako kipindi kinapoteza mvuto.
Anataka ukuu wa wilaya ngoja watampakua
 
Sam Mahela anapendwa sana hongera sana Sam keep it up.... bravòooooooooooooooooooooo
 
Jamaa ana copy and paste nyingi sana..
 
Huyu jamaa anasifa Sana Halafu kingine anauliza swali kabla mgeni hajamaliza kujibu anainteract na kumtwanga swali jingine inakera Sana inamaana anafanya kipindi kwa ajili yake na sio watazamaji
 
Iko wazi: nyuma ya pazia kuna nafasi za uteuzi.

Anaota nafasi za uteuzi kama ilivyotokea kwa Godwin Gondwe na wengineo...
huyu jamaa ni akimuhoji mtu utadhani anataka kumtia vidole machoni anarusha rusha mikono muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…