Sam Mahela mbona sikuelewi?

Huyo mahela anafanya kazi redio gani maana nasomaga nyuzi mbalimbali zinazomhusu yeye
 
Mimi ananiachaga hoi anapobana midomo halafu anasema.. Mimi ni sama mahela (anatulia kidogo, anarudisha shingo nyuma kama ndege fulani kule kwetu wanaitwa nyamwiduli, kisha anapeleka shingo mbele) halafu anabinua mdomo anamalizia... Wa aitivi.
Kuna siku alikuwa anasoma Chiku Lweno sasa wakati sam anaripoti, alipobinua mdomo tu na kutulia kidogo akakatwa.
 
ha ha haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…