kibassaNyiboto
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 309
- 165
Nilikua nikitazama ukweli. Kaulialiyoitoa niyakishenzi. Nanime mpuuza uyo mahela wenu tangia Jana uskuu
Jackline hata anaposoma habari una-sense brightness yake,you feel her brain power anapoongoza kipindi,nadhani atafika mbali sana
Sam Mahela anachoweza ni kutikisa kishingo chake na kiuno basi,hasa anapokuwa saiti akiripoti habari