Salute Kwa Mabroo!

juan moses

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
2,403
2,477
Hii Ni Kwa Mabroo Wote Mlioko Makazini Mliojiestablish Wenye Magari Yawe Ya Mkopo,Ya Wake Zenu Kwa Wale Mamariyoo,Ya Ofisi,Ya Wazazi Wenu Au Hata Ya Kuazima Kwa Marafiki Zenu Wale Ambao Mnajigongea Videmu Vya Chuo Just For Fun Na Mnajua Vinapagawaga Ukiwa Na Gari Yani Vikikuona Na Gari Vinakuwa Wet Out Of No Where.
Do Us Poor Guys A Favour Ffs,Kwanza Mwafanya Tunadharaulika Sana Na Hawa Classmates Wetu. Ila Basi Have Some Mercy On Them,Kuwagongea Kwenye Parking Za Halls Of Residence Dah Its Not Good At All (Sighs!) Kawagongeeni Respectable Places Basi Then Muwarudishe.
Yani Unakuta Gari Imepakiwa Mtu Anapewa BJ Fasta Anasepeshwa,Meshuhudia Kwa Macho Yangu. Tena Kipindi Hiki Karibia Na Mitihani Ratiba Zilivyobana Bas Ndo Mmepata Visingizio Kweli Maana Mademu Wanasema Hawana Muda So Quickies Zinatake Precedence Kweli.
On My Observation This Same.Damn Week Nimeobseve Three Times Just Passing Along The Cars Parked. This One Couple While Romping Wameweka Nyimbo Ya Shetta Namjua Inajirudia Nimeenda,Nimerudi Baada Ya Robo Saa Nyimbo Ile Ile Sasa Kilichowaumbua Simu Ikawa Inaita Mwanga Ule Ukabumburua Kila Kitu,She Was Riding That Nigga's Stick. Alafu Yule Anaonekana Sio Mzoefu,Wataalam Wakipaki Gari Wanahakikisha Kioo Cha Mbele Kipo Ukutani Hamna Anayepita.

Ila No Sweti Ntakuja Kulipiza Tu Na Mimi Nikianza Kutembelea Makalio.
 
Martin Kadinda upo mpaka JF?
 
HAHHHHAHAHAH watu wanatembea na air flesher unadhan mchezo? unatoka kufanya mambo yako mara mshikaji kakunyooshea mkono anataka lift kumpigia tinted usimchukue itakua soo unaamua kupulizia tuu kisha unamgei lift haaoo maskan
 
Vijana wengi wengi bado hawajui thamani ya muda na jinsi ya kuutumia vyema........
Vijana wengi waliopata bahati au fursa za kupata elimu ya juu hawajui kuwa hiyo ni nafasi adimu sana kwenye maisha yao hasa kwenye hizi nchi zetu za kiafrika kwani siku ukifunguliwa macho na kuona vilio vya watu waliokauka machozi kwa kuiokosa nafasi hiyo adimu au majuto ya watu wanaoteseka maishani mwao kwa kuichezea bahati hiyo adimu....sidhani kama kuna kijana angekuwa anakuja kuandika ujinga angali bado yupo masomoni.........

Kimsingi ni kuwa kila jambo linafanywa kwa wakati wake....hivi vitu vinavyokutoa udenda na kukuumiza moyo ni vitu vidogo sana kwenye maisha na pia huu sio wakati wake.....lakini vile vile kujihakikishia upatikanaji wa vitu hivyo ambavyo wewe unaviona kuwa ni vya msingi kunategemea na juhudi zako katika kulifanya hili la wakati huu vyema zaidi.....

Muda ni rasilimali adimu sana na ni rahisi kuipata lakini gharama za kuupoteza hazilipiki...kwani ukishaupoteza kinachofuata ni majuto.....
 
Ndio maana nchi inakua na wasomi uchwara.
Yani badala ya kubukua uje uisaidie jamii yako hapo baadae we upo bize unawaza bupa!
Hao unaowasema wanawachukulieni mademu zenu kisa wanatembelea matako walihustle kwanza.Vagina was their last priority son,wangeendekeza uchi leo wasingepata hizo connection za kutembelea mandinga makali.
Na mimi nakuambia a pussy doesn't give thee a dope ass ride with big shiny ass rims,but your grades will.
Pambafu.
 
Back
Top Bottom