Salute Jux Vuitton, sasa naanza kukuelewa

Salute Jux Vuitton, sasa naanza kukuelewa

bluetooth23

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
348
Reaction score
326
Kwenye Zouk Rhumba huko Diamond na Ally Kiba hawana mpinzani anayewafuata. Ila kwa RnB basi Jux anatoa upinzani mkubwa kwa Rama Dee kwa sasa.

Ametambulisha nyimbo mpya iitwayo sisikii, ni shida kuanzia beat na mpangilio wa sauti.

Nyimbo imefanyika AM Rec na Maneke amehusika kwny mdundo, hakika wimbo ni mtam na kijana amejpanga kwny RnB.

Ikumbukwe Jux alishatoa nyimbo zingne kama Nimedata, napata raha, uzuri wako na nitasubiri, na sasa ametoa Sisikii.

Now naanza kumuelewa Jux.
 
Wimbo umesimama….., utasumbua sana mjini huu wimbo, next level, mshikaji ka Trey Songz vile…
 
Kwenye Zouk Rhumba huko Diamond na Ally Kiba hawana mpinzani anayewafuata. Ila kwa RnB basi Jux anatoa upinzani mkubwa kwa Rama Dee kwa sasa. Ametambulisha nyimbo mpya iitwayo SISIKII, dah ni shida kuanzia beat na mpangilio wa sauti. Nyimbo imefanyika AM Rec na Maneke amehusika kwny mdundo, hakika wimbo ni mtam na kijana amejpanga kwny RnB. Ikumbukwe Jux alishatoa nyimbo zingne kama Nimedata, Napata Raha, Uzuri Wako na Nitasubiri, na sasa ametoa Sisikii. Now naanza kumuelewa Jux.

mi naona nitasubiri Ni kali sanaaa,daAh huyu dogo Ni noma
 
Dogo anajua... na upo sahihi, Rama Dee ingawaje anafanya muziki kama hobby lakini kabla hajatoa ngoma mpya anatakiwa kumsikiliza Jux mara mbili mbili!
 
Dogo anajua... na upo sahihi, Rama Dee ingawaje anafanya muziki kama hobby lakini kabla hajatoa ngoma mpya anatakiwa kumsikiliza Jux mara mbili mbili!

yule dogo mjinga tu hawezi hata akafikia level za Ben Pol sembuse kwa Rama Dee kama mmetumwa kuja kumtafutia kick humu mmebugi
 
Huyu dogo si ndio yule anakula mke wa mtu. Am very sure jamaa akitoka jela hatakaa muda mrefu uraiani atarudi tena jela.
 
Jux wa kawaida sanaa na effects zake za sauti, bahati yake anaimba kipindi ambacho wenye rnb yao wamepumzika.

Wimbo kauandika Mabeste, mpeni credit na yeye.
 
Nadhani ni vyema mkampa heshima yake mabeste ambaye ameandka lyrics zote za huo wimbo, pamoja na kuandaa melody, kazi ya Jux ikawa ni kuimba tu.
Jux amemlipa milioni 2 Mabeste kwa hiyo kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom