Saluni za kunyoa hasa za Dar kuna umalaya mkubwa unaendelea

jokotinda_Jr

JF-Expert Member
Apr 9, 2022
882
1,521
Habari za mda huu wadau kwa uchunguzi wangu wa hapa dar saloon nyingi za kiume kuna mambo mengi sana yana endelea chini ya kapeti kuna umalaya sana na uzaji mkubwa sana wa dawa za kulevya wadada wanajiuza wazi wazi

Hasa hizi barbershop kuna warembo mle ndani ukisha maliza tu kunyolewa atakuita ndani utatajiwa huduma ambazo utajua hujui .... utasikia kaka nikufanyie masaj ya kichwa , au kaka nikufanyie scrubs, huku wakiwa na vinguo vyakichokozi

Juzi juma pili nlienda saloon moja pale mabibo mwisho baada ya kunyoa akaja mdada akaniambia njoo hku tukaingia ndani kwenye vyumba flani nya ndani baada ya kukoshwa akanza kunipapasa mabega hku akiniambia kaka nikufanyie scrubs wakati huo kichwa changu kikiwa kwenye kifua chake huku akirembua macho

Nikauchuna nika mwambia siku nyingine nika mpa akate pesa yake ya kunyoa 3000 na chenchi iliyo baki 2000 nika mwambia utakunywa soda nika sepa .... kwa sasa siendi tena hizi barbershop nta nyoa kwenye saluni za kawaida ntaend kuoga kwangu imeisha hiyo ... sitaki kubeti maisha
 

Bora hizo kuliko zile massage parlour sijui massage nini
 
Wapi mkuu nielekeze saloon moja nikajionee mwenyewe mana raha ya ngoma ucheze
 
Unatamani serikali iliangalieje mkuu
Hutaki tukanyoe??
Au unatamani zifungwe??
 
Fafanua umalaya unafanyikaje na madawa yanauzwaje?
 
Aisee...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…