Kwa kweli nimeupenda utendaji wa shughuli za huyu kijana katika siasa ni mfano wa kuigwa na vijana wenzake walioko kwenye siasa kanivutia sana mpaka nimeanza kufatilia siasa.
wewe Mwenyekiti PATROBASS anapiga kazi sana, kwa sasa anajiandaa kuingia Mikoa ya Morogoro, Dodoma na Tanga ambayo ni sugu sana kwa kutopenda mabadiliko. Ataenda na team kubwa na kupiga mtaa kwa mtaa na kijiji kwa kijiji.
Tulieni tu tusiwe na haraka, huyu jamaa ni mtata sana anapiga kazi balaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.