funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,119 Reaction score 31,639 Feb 5, 2018 Thread starter #41 She loves Me said: Anaishi MACHAME .... Ila fahamu kuwa ubunge hauna mipaka ya ukazi, bora awe raia Click to expand... Akagombee Machame
She loves Me said: Anaishi MACHAME .... Ila fahamu kuwa ubunge hauna mipaka ya ukazi, bora awe raia Click to expand... Akagombee Machame
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,119 Reaction score 31,639 Feb 5, 2018 Thread starter #42 Kilemakyaaro said: Ndipo utakajua umbumbu wa huyu jamaa kama Lema anavyojidanganya na barabara za katikati ya mji pale Arusha kua ni jitihada zake wakati ni mradi wa Serikali uliofadhiliwa na benki ya dunia Click to expand... Wamezoea kuishi kisanii sana
Kilemakyaaro said: Ndipo utakajua umbumbu wa huyu jamaa kama Lema anavyojidanganya na barabara za katikati ya mji pale Arusha kua ni jitihada zake wakati ni mradi wa Serikali uliofadhiliwa na benki ya dunia Click to expand... Wamezoea kuishi kisanii sana
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,505 Reaction score 28,437 Feb 5, 2018 #43 Tunataka kujitegemea.
mafinyofinyo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 4,404 Reaction score 3,277 Feb 5, 2018 #44 Mtulia kuna fuse itakua imelegea sio kawaida kwa jinsi anavyobwabwaja kwenye kampeni