Hivi KUB alishawahi ongea na world bank?Avatar yako inaakisi unachoshangaa...!! Yaani unamuona mbunge ni mtu mdogo sana hawezi kuomba world bank...!?? Mbunge anabeba dhamana ya watu wa Jimbo zima anashindwa vp kupata msaada kutoka ktk taasisi kubwa km world bank!?? Kweli ujinga ni mzigo.
Tatizo ni kuwa hamuaminiki popote ila hata Hilo pia ni maendeleo.World bank hukopesha/hufadhili shughuli za maendeleo tu
Anaishi MACHAME .... Ila fahamu kuwa ubunge hauna mipaka ya ukazi, bora awe raiaKwani Salum Mwalim anaishi kinondoni?
Million50 kila kijiji zikowapi? Nyani haoni kundu*#",/*lake.Eti anawaaahidi wanakinondoni wamchague ili ndani ya miezi mitatu aongee na world bank kutekeleza miradi ya maendeleo.
Hivi Mwalimu anawaonaje wanaKinondoni?
Hizi siasa za kilaghai tutaacha lini?
Kinondoni inamuhitaji mwenye kujua shida za wananchi na anayeishi nao bega kwa bega.Anaishi MACHAME .... Ila fahamu kuwa ubunge hauna mipaka ya ukazi, bora awe raia
Kwani Salum Mwalim anaishi kinondoni?
Kwani bashite yeye anapata wapi misaaɗa ƴa kuwapa wana darKwani Salum Mwalim anaishi kinondoni?
Hilo Jimbo linaenda CCM kama kumsukuma mlevi vile,,,,,[emoji1321]
Sheria inasemaje kwan?? Au hujui hata huyo Mtulia ni Mpemba Njaa anaenunulika kama shatiKinondoni inamuhitaji mwenye kujua shida za wananchi na anayeishi nao bega kwa bega.
Tamaa ya cheo inayomkabili Mwalimu haiwezi kujazwa na ubunge wa Kinondoni.
Kinondoni sio sehemu ya majaribio ya uongozi.