Salum Mwalimu aunguruma Songea viwanja vya S/M Matarawe

kelao

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
8,132
Reaction score
5,810
Ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zanzibar ndugu Salum Mwalimu anahutubia mkutano mkubwa Songea mjini katika kata ya Matarawe. Watu ni wengi, anasisitiza kuwa CCM Sasa wanatafutana kwa tochi.. Wamepoteana..
 
Ni naibu katibu mkuu wa cdm Zanzibar ndugu Salum Mwalimu anahutubia mkutano mkubwa Songea mjini ktk kata ya Matarawe, anasisitiza kuwa ccm Sasa wanatafutana kwa tochi, wamepoteana...
 
Ni naibu katibu mkuu wa cdm Zanzibar ndugu Salum Mwalimu anahutubia mkutano mkubwa Songea mjini ktk kata ya Matarawe.. Watu ni wengi, anasisitiza kuwa ccm Sasa wanatafutana kwa tochi.. Wamepoteana..
lete mambo mkuu
 
lete mambo mkuu

Picha nimepiga nashindwa kuziweka natumia simu. Salum Mwalimu anasema kwa kuwa bvr ni mchezo wa ccm, anaomba wananchi wajitokeze kwa wingi kujiandikisha na pale itakaposhindikana, watadai kura ya wazi, yaani wanaweka ccm hapa, ukawa pale. Mtu asimame nyuma ya anaemtaka halafu waone kitakachotokea..
 
Asante mkuu kelao..Endelea kutujuza kinachoendelea
 
Last edited by a moderator:
Ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zanzibar ndugu Salum Mwalimu anahutubia mkutano mkubwa Songea mjini katika kata ya Matarawe. Watu ni wengi, anasisitiza kuwa CCM Sasa wanatafutana kwa tochi.. Wamepoteana..

Wakati Milenia ya tatu Chadema Itachukua Madaraka kwa Sanduku la Kura mwezi oct
 
Ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zanzibar ndugu Salum Mwalimu anahutubia mkutano mkubwa Songea mjini katika kata ya Matarawe. Watu ni wengi, anasisitiza kuwa CCM Sasa wanatafutana kwa tochi.. Wamepoteana..

Kwa Mimi muhisani nadhani huyu angefanya kimya kimya badala ya mbwembwe kwanza. Isije kuwa Kama washabiki wa simba na yanga
 
Salum Mwalimu nilikuwa sijamwona live, kumbe ni jembe kubwa Sana kwa cdm.. Ikiwezekana apewe jimbo la Temeke Oct 2015
 
Ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zanzibar ndugu Salum Mwalimu anahutubia mkutano mkubwa Songea mjini katika kata ya Matarawe. Watu ni wengi, anasisitiza kuwa CCM Sasa wanatafutana kwa tochi.. Wamepoteana..

Hili Ke-lao (kelao) limeolewa na wangapi? Yaani hata picha hakuna kiongozi unakuja maneno matupu?
 
Ha ha haaa, danganyaneni tu. Nilikuwepo mkutanoni Chadema iko hoi!. Mtaona kwenye TV ya chadema Leo nyote mnaijua coz Mwambije alikuwepo akawa anajitahidi sana na "closeup" ili ionekane mahudhurio yalikuwa makubwa. Huku sisi ni ACT wazalendo ndo mpango mzima. Chama vya ukoo na majungu tumetupa kule Moshi kilikotoka.
 
Huyo anayejiita mkewao sijui kelao alete picha tuone aibu ya chadomo. Salum mwenyewe siyo politician badala yake ni mpiga porojo tu. Halafu nahisi Dogo ni mamluki Fulani. Unajua style yake ya uongeaji siyo ya kujenga chama badala yake anabomoa flank hivi. Dogo atakua gamba ambaye yuko placed kwa umakini Wa hali ya juu. Unajua kiukweli uchaguzi Wa cdm uliopita waliingiziwa mamluki Wa muda MTU. Mcheki Patrobas, mcheki mama Bawacha then mcheki Salum Mwalimu. Kwa wajuzi Wa mambo flan ya kisiaiei atang'amua tu. Anyway time always tells!
 
Acha kupayuka hapa jukwaani we mfuasi wa John Komba, picha zipo nitaomba msaada wa wadau kesho nitaziweka hapa.. Halafu wewe usiwe mtumwa wa mawazo, hivi ni nani ndani ya act zaidi ya zitto anaweza kuja Songea akapata mahudhurrio aliyoyapata Salum Mwalimu? tuwe wakweli jamani.
 
Ha ha haaa, danganyaneni tu. Nilikuwepo mkutanoni Chadema iko hoi!. Mtaona kwenye TV ya chadema Leo nyote mnaijua coz Mwambije alikuwepo akawa anajitahidi sana na "closeup" ili ionekane mahudhurio yalikuwa makubwa. Huku sisi ni ACT wazalendo ndo mpango mzima. Chama vya ukoo na majungu tumetupa kule Moshi kilikotoka.

haa haa kwani songea kuna waha?
 
Back
Top Bottom