Kyakashombo
Senior Member
- Oct 13, 2018
- 164
- 235
Balaa tupu!Tena !?
Halisikii dawa!Hii serikali ni sikio la kufa...
Zamu hii wata kuwa wapole tu, wanaume wameshaanza, japo jiwe anaona aibu kuonekana ame banwa ila hana jinsi, tutegemee kuona mabadiriko, hana namna, alidhani kuongoza nchi ni kama familia, unajiamulia tu kinachokuja kichwaniHii serikali ni sikio la kufa...
Kwani mnakuwaga hata na sababu za kukamata watu ninyi.Kwani amekamatwa na nani na kwa kosa lipi?,