Salum Mayanga atimuliwa Taifa Stars

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
217,991
TFF Imesema kocha huyo hana muda mrefu wa kufundisha timu hiyo na wako kwenye mchakato wa kupata kocha mpya wa kigeni .

Hayo yamesemwa na na Kaimu Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau alipoongea na waandishi wa Habari , alidai kwa sasa wanatafuta kocha mwenye utaalam zaidi ili kuipeleka timu Afcon 2019 .

Chanzo - Mwananchi .

Kwaheri Mayanga .
 
huyo fukuzia mbali kabisa, alivyokuwa biased kwenye zile sherehe za zenji, anawaambia wale vijana ati walikuwa wanapigania "nchi yao ya zenji", kumbe muda wote anafundisha hakuwa royal kwa taifa stars bali kwa wazenji wenzie, na kuna uwezekano mkubwa hata upangaji wa namba aliwapendelea wazanzibar ili wapate uzoefu timu ya taifa ili timu ya wala urojo iwe bora kuliko timu ya wala ugali wa dona. tangu siku ile ya tafrija ya kujifariji nao waonekana wana nchi, nilimfuta kwenye ramani kabisa.
 
Duh!
 
TFF Imesema kocha huyo hana muda mrefu wa kufundisha timu hiyo na wako kwenye mchakato wa kupata kocha mpya wa kigeni .

Hayo yamesemwa na na Kaimu Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau alipoongea na waandishi wa Habari , alidai kwa sasa wanatafuta kocha mwenye utaalam zaidi ili kuipeleka timu Afcon 2019 .

Chanzo - Mwananchi .

Kwaheri Mayanga .
Nenda mwalim nenda wala hatutakukumbuka kwa uliyotufanyia
 
TFF Imesema kocha huyo hana muda mrefu wa kufundisha timu hiyo na wako kwenye mchakato wa kupata kocha mpya wa kigeni .

Hayo yamesemwa na na Kaimu Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau alipoongea na waandishi wa Habari , alidai kwa sasa wanatafuta kocha mwenye utaalam zaidi ili kuipeleka timu Afcon 2019 .

Chanzo - Mwananchi .

Kwaheri Mayanga .
Wamechelewa sana
 
Kwa mtazamo wangu Mayanga kaonesha mafanikio katika taifa stars kuliko makocha wote waliokuja baada ya Maximo. Kama ndio hivi sasa nani atavaa viatu vyake?
Soka la Bongo kizungumkuti
Kweli aisee kaiongoza Taifa stars mechi 14 ameshinda mechi 6 amedraw mechi saba na amefungwa mechi moja.
Tofauti na Maximo na Jan polsen hakuna kocha mwingine aliyefanya vizuri kama mayanga.
Sema basi hatujui tunachokitafuta TFF wametumia vogezo gani kumpima na kuona hafai ?
Anyway after all alikuwa care taker tu
 
Back
Top Bottom