Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Aug 7, 2015 #1 Hapa ni vipara kwenda mbele Attachments 1438943352108.jpg 24.5 KB · Views: 787
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Aug 7, 2015 #2 anatumia kisu duuh
S SURUMA JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,892 Reaction score 1,068 Aug 7, 2015 #3 Mkuu naomba namba ya huyu Babu maana upaa wangu unahitaji kinyozi wa aina yake🙂
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Aug 7, 2015 #4 SURUMA said: Mkuu naomba namba ya huyu Babu maana upaa wangu unahitaji kinyozi wa aina yake🙂 Click to expand... Usisahau kwenda na kisu chako!
SURUMA said: Mkuu naomba namba ya huyu Babu maana upaa wangu unahitaji kinyozi wa aina yake🙂 Click to expand... Usisahau kwenda na kisu chako!
webondo JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 1,713 Reaction score 383 Aug 7, 2015 #5 Ananikumbusha enzi ziiiiiiiileeeeee! Maana haya mambo ya salon na mambo ya scrub ni ya kisasa zaidi..
Ananikumbusha enzi ziiiiiiiileeeeee! Maana haya mambo ya salon na mambo ya scrub ni ya kisasa zaidi..
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Aug 7, 2015 #6 Huu utakua ukatili wa kimasikini kwani anaogopa pesa ya mafuta na maji na sabuni
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Aug 7, 2015 #7 hana haya huyu mzee anampiga mwenzie para
Z zefa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 445 Reaction score 300 Aug 7, 2015 #8 hiyo mbona kidogo hujaona kukata na shoka