Labda nichangie kidogo nilichojifunza katika management yenye unafuu maanake niko katika michakato yakufungua berbarshop hapa Morogoro.
uendeshaji mzuri wa barber shop ni wakuchukua kipande kwa kila wiki kwa kila kiti,
yaani tuseme kila j2 unachukua maduhuli yako kwa kila kinyozi mf. elf 50 * idadi ya vinyoz ulionao
manunuzi ya maji na umeme ni juu ya vinyozi, pia wale wadada wa kuosha ni mapatano kuwalipa, hapo wanaweza lipwa na vinyoz au tajiri, (vizuri wakilipwa kwa siku)
pia manunuz ya vikorombwezo (poda, mafuta, black nk.) ni vinyoz wenyewe
ninaomba msaada kwa wenye utaalamu wa mtaji wa kuanzisha berbarshop yenye heshima ikionyesha orodha ya vifaa na gharama zake, tusaidiane bandugu.