Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
"Mhe. Rais wewe kama uwaridi unayo miba ambayo ni sheria nzuri, kanuni, taratibu, mila na desturi ambapo pale ulipotaka kuonesha waridi lako kwa kuweka 4R walipotaka kukuchokoza waliishia kwenye mikono ya sheria.
Wewe kama ua zuri ulipotaka kuweka demokrasoa na uwanja sawa wa siasa wale ndugu zangu niliokuwa nao walipotaka kukuchokoza uliwaambia watakutana na miiba kabla ya hamjaliharibu waridi, leo hii wapo kwenye mikono ya sheria wanalia wameonewa.
Wewe ni ua zuri kwa Tanzania."- Salome Makamba, Mbunge na Mwanachama wa zamani wa Chadema akimnadi Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Oktoba 11, 2025 Kahama Mjini Mkoani Shinyanga.